Katibu waziri wa ndani aunga mkono kujengwa kwa mabwawa ili kukabiliana na mafuriko Budalangi

  • | NTV Video
    87 views

    Katibu wa wizara ya masuala ya ndani dkt. Raymond Omollo ameunga mkono pendekezo la mbunge wa budalangi Raphael wanjala la kujengwa kwa mabwawa katika upande wa juu kama suluhu ya kudumu na kukabiliana na janga la mafuriko katika eneo bunge hilo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya