Katika Maonyesho ya teknolojia mjini Las Vegas , kampuni ya BMW inaonyesha teknolojia yake mpya .

  • | VOA Swahili
    136 views
    Katika maonyesho ya teknolojia yanayoendelea ya CES, mjini Las Vegas, jimbo la Nevada, hapa Marekani, kampuni ya kutengeneza magari ya Ujerumani BMW, inaonyesha teknolojia yake mpya inayowezesha magari kuegeshwa, kwa mbali, kwa kutumia kifaa cha remote control, bila dereva kuwa ndani.