Kauli ya Waziri Mbadi yazua wasiwasi miongoni mwa wazazi

  • | Citizen TV
    38 views

    Matamshi ya hivi maajuzi ya Waziri wa hazina ya kitaifa John Mbadi, kuhusu kupunguzwa kwa mgao wa fedha katika sekta ya elimu yamezua hisia mseto miongoni mwa wananchi, hasa kutoka kwa tabaka la chini