Kaunti mbalimbali zashiriki kwenye mashindano ya michezo na utamaduni katika kaunti ya Meru

  • | Citizen TV
    224 views

    Mashindano ya Michezo na Utamaduni yanayojumuisha kaunti mbalimbali yanazinduliwa leo katika kaunti ya Meru. Mashindano haya ya kumi huleta pamoja kaunti mbalimbali kwa mashindano ya michezo, uigizaji na hata kuonyesha nyimbo za kitamaduni.