Skip to main content
Skip to main content

Kaunti na wakfu wa Mpesa wajenga vyumba vya kujifungulia Katika kaunti ya Kajiado

  • | Citizen TV
    198 views
    Duration: 2:15
    Juhudi za Kukabiliana na Vifo vinavyotokana na Kina mama Kujifungua Katika kaunti ya Kajiado zapigwa Jeki baada ya Ukarabati wa chumba cha kina mama Kujifungua katika Hospitali ya Ngatataek Level 4 kukamilika na kuanza operesheni.