- 120 viewsDuration: 3:11Wazee na wapiganaji waliobadilisha mienendo katika kaunti nne za eneo la North Rift ambazo hukumbwa mara kwa mara na visa vya ujambazi wameimarisha juhudi za kuleta amani baina ya kaunti hizo kwa lengo la kuafikia amani ya kudumu miongoni mwa jamii za wafugaji wa kuhamahama ambazo zimeathirika kwa miongo mingi kutokana na ujambazi na utovu wa usalama. Mkutano huo ulioandaliwa huko Kapenguria katika kaunti ya Pokot magharibi uliwaleta pamoja wazee kutoka kaunti za Elgeyo Marakwet, Turkana na Baringo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive