18 Mar 2026 1:24 pm | Citizen TV 123 views Duration: 2:07 Kaunti ya Bungoma imepiga hatua kubwa katika vita dhidi ya magonjwa yaliyopuuzwa yani neglected tropical diseases, huku ugonjwa wa Kichocho ukipungua kutoka asilimia saba hadi nne tangu mwaka 2021.