Kaunti ya Busia yatajwa kuwa miongoni mwa kaunti zinazofanya vyema katika ufugaji wa samaki,

  • | Citizen TV
    307 views

    Kaunti ya Busia imetajwa kuwa miongoni mwa kaunti zinazofanya vyema zaidi kote nchini kwa ufugaji wa samaki, huku vijana na wanawake wakihimizwa kukumbatia shughuli hiyo kwa wingi.