Kaunti ya Homa Bay yaanza hamasa kuhusu kujitia kitanzi kwa wanafunzi

  • | Citizen TV
    185 views

    Idadi ya wanafunzi wanaofarilki aidha kwa kujitia kitanzi au katika hali isiyoeleweka inaongezeka katika kaunti ya Homa Bay huku idara ya masuala ya watoto na washikadau wa elimu wameanza mchakato wa kutatua swala hili. Kaunti ya Homa Bay imeanza kutoa ushauri nasaha kwa wanafunzi mashinani kwa ushirikiano na wahudumu wa afya.