Kaunti ya Isiolo yapata shilingi milioni kumi kufaidi miradi ya hewa kaa

  • | Citizen TV
    115 views

    Serikali ya kaunti ya Isiolo imefaidi kupitia miradi ya hewa kaa inayoendelezwa na hifadhi za wanyamapori eneo hilo. mashirika matano ya uhifadhi wa mbuga za wanyamapori zimewasilisha shilingi milioni 10 zilizotokana na miradi hiyo kwa serikali ya kaunti ya isiolo. kila shirika linatakiwa kutoa asilimia tano ya mapato yanayotokana na hewa ya kaboni.