Kaunti ya Kajiado imeanzisha mpango wa kutoa lishe kwa watoto na familia zilizoathirika na kiangazi

  • | Citizen TV
    280 views

    Kaunti ya Kajiado kwa ushirikiano na mashirika yasiyo ya serikali imeanzisha mpango wa kutoa lishe kwa watoto na familia zilizoathirika na kiangazi ili kuhakikisha kuwa hawatatiziki wakati ya likizo ndefu. Watoto zaidi ya elfu sitini kutoka shule za msingi za umma wamenufaika na chakula.