Kaunti ya Kakamega yazindua kamati ya kukabiliana na ufisadi itakayoongozwa na gavana Barasa

  • | Citizen TV
    303 views

    Kaunti ya kakamega imezindua rasmi kamati ya kukabiliana na ufisadi itakayoongozwa na gavana wa kaunti hiyo fernandes barasa. Kamati hiyo inatarajiwa kupambana na tatizo hilo ikizingatiwa kuwa kaunti ya kakamega hivi majuzi iliratibiwa ya sita nchini kwa ulaji rushwa.