Kaunti ya Kiambu yaanza uchunguzi wa kifo cha mtoto wa miezi 11 katika hospitali ya Igegania

  • | NTV Video
    469 views

    Serikali ya Kaunti ya Kiambu imeanza uchunguzi kuhusu kifo cha mtoto wa miezi 11 katika hospitali ya Igegania Level Four, Gatundu Kaskazini, huku kaunti hiyo ikitangaza kuwafuta kazi madaktari wanaogoma.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya