Kaunti ya Kisumu yaanza kampeni ya chanjo kwa watoto

  • | Citizen TV
    38 views

    Serikali ya kaunti ya Kisumu sasa imeanza kampeni ya chanjo kwa watoto baada ya kupokea dozi elfu hamsini ya chanjo ya BCG