20 Aug 2025 1:18 pm | Citizen TV 168 views Duration: 1:22 Kutokana na kuongezeka kwa visa vya watu kuumwa na nyoka, serikali ya kaunti ya Kitui imeanzisha zoezi la kutoa dawa ya kutibu sumu ya nyoka katika hospitali za mashinani.