Kaunti ya Kwale imezindua ugavi wa miche 5000 ya minazi

  • | Citizen TV
    102 views

    Katika juhudi za kuimarisha kilimo cha zao la mnazi kaunti ya Kwale, serikali ya kaunti imezindua rasmi ugavi wa miche 5000 ya minazi itakayogawiwa wakulima katika wadi zote 20 za kaunti hiyo.