Kaunti ya Kwale yalalamikia kucheleweshwa kwa pesa

  • | Citizen TV
    268 views

    Serikali ya kaunti ya Kwale imesema kucheleshwa kwa mgao wa fedha za kaunti kutoka serikali ya kitaifa na kesi nyingi zilizowasiloshwa mahakamani na baadhi ya wanakandarasi kumesababisha kukwama kwa miradi mikubwa ya maendeleo katika kaunti hiyo.