Kaunti ya Kwale yazindua ujenzi wa kituo cha watoto

  • | Citizen TV
    83 views

    Serikali ya kaunti ya Kwale na wakfu wa MPESA wamezindua ujenzi wa kituo cha watoto katika hospitali ya rufaa ya Msambweni.