Kaunti ya Lamu na jimbo la Red Sea kutoka Sudan kushirikiana

  • | KBC Video
    4 views

    Serikali ya kaunti ya Lamu na jimbo la Red sea katika Jamhuri ya Sudan zimetaia saini mkataba wa maelewano kuhusu ushirikiano wa maeneo hayo mawili.Wakati wa hafla ya kutiwa saini kwa mkataba huo jijini Nairobi Balozi wa Sudan nchini Kenya Kamal Gubara na gavana wa kaunti ya Lamu Issa Timamy walisema kuwa watajitolea kuimarisha uhusiano huo katika sekta mbali mbali zikiwemo mazingira, utamaduni ,elimu ,uvuvi ,afya na utalii .

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive