- 324 viewsDuration: 2:57Kiwango cha maji katika ziwa Kenyatta kaunti ya Lamu kimepungua mno na kuhatarisha maisha ya binadamu na wanyama eneo hilo. serekali Ya kaunti ya Lamu,Wizara ya ulinzi Na wanaharakati Wa kimazimgira wameandaa mbio za nusu marathoni pamoja Na zoezi la upanzi Wa miti ili kutoa hamisisho la kulinda ziwa Kenyatta ambao ndio chanzo cha Maji eneo Zima la Mpeketoni.