Skip to main content
Skip to main content

Kaunti ya Machakos yazindua mfumo wa upasuaji wa magonjwa ya tumbo

  • | Citizen TV
    84 views
    Duration: 1:32
    Sekta ya afya katika kaunti ya machakos imepigwa jeki baada ya kuwekwa kwa mnara wa teknolojia ya upasuaji wa tumbo ili kutibu maradhi mbalimbali katika hospitali ya rufaa ya Kaunti ya Machakos. Vifaa vya kisasa vinatarajiwa kuboresha huduma za upasuaji na kuboresha matokeo ya wagonjwa. Gavana Wavinya Ndeti akipokea mashine hiyo, alieleza kuwa imetokana na ushirikiano kati ya Serikali ya Kaunti ya Machakos, Lariox Healthcare Limited, na Chama cha Watendaji wa Uendeshaji wa Ukumbi wa Maonyesho wa Kenya, kinachoongozwa na Profesa Jani.