- 72 viewsDuration: 1:37Serikali ya Makueni inashirikiana na bima ya afya ya umma SHA kusimamia huduma za matibabu bila malipo kwa familia elfu 11, mpango utakaogharimu shilingi milioni 90. Wanaolengwa katika mpango huo ni wale wasiojiweza kwenye jamii. wakazi hao watapewa kadi maalum na serikali hiyo ili kuwawezesha kupata huduma zote za SHA katika hospitali za Makueni na zile za nje ya Makueni.