14 Aug 2025 7:39 am | Citizen TV 375 views Duration: 1:45 Kaunti ya Mandera imepiga hatua muhimu ili kuboresha elimu kwa watoto wenye mahitaji maalum kwa kutoa mafunzo kwa maafisa 60 wa kiufundi