Kaunti ya Meru imeanzisha utafiti unaolenga kuwapa watoto na akina mama wanaonyonyesha afya bora

  • | Citizen TV
    158 views

    Kaunti ya Meru na Mashirika ya kijamii zimeanzisha Utafiti unaolenga watoto walio na chini ya miaka mitano pamoja na akina mama wanaonyonyesha kwenye maeneo kame ya Igembe, Tigania na Buuri.