Kaunti ya Migori yaanza kuongeza uzalishaji wa samaki hadi tani 100,000 kila mwezi

  • | Citizen TV
    168 views

    Kaunti ya Migori imeanza kuongeza uzalishaji wa samaki hadi tani 100,000 kila mwezi ili kukidhi mahitaji ya chakula humu nchini.