11 Mar 2026 1:54 pm | Citizen TV 315 views Duration: 1:40 Ni afueni kwa timu za soka kutoka kaunti ya Mombasa baada ya serikali ya kaunti hiyo kutangaza mpango maalum wa kifedha wa kuzisaidia timu hizo.