Kaunti ya Mombasa yaweka mikakati ya kuzuia tishio la msambao wa maradhi ya Ebola

  • | Citizen TV
    612 views

    Kaunti ya Mombasa ni mojawapo ya kaunti ambazo zimetakiwa kuwa macho na kuweka mikakati ya kuzuia tishio la msambao wa maradhi ya Ebola. Kaunti 20 zimetajwa kuwa katika hatari ya maambukizi kutoka Uganda.