Kaunti ya Murang’a kutoa msaada kwa waathiriwa na mafuriko, kila familia kupokea Sh.50,000

  • | TV 47
    4 views

    Kaunti ya Murang’a kutoa msaada kwa waathiriwa.

    Kang’ata: Kila familia kupokea shilingi 50,000.

    Serikali ya Murang’a yatenga millioni 23.

    Pesa hizi ni za kusaidia mahanga wa mafuriko.

    Maeneo ya Ithanga, Kandara, Kiharu yameathirika.

    Pia maeneo ya Kangema na Mathioya pia yameathirika.

    #tv47matukio Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __