Kaunti ya Nairobi bado inaongoza katika maambukizi ya kila siku ya ugonjwa wa COVID-19

  • | KBC Video
    Kaunti ya Nairobi bado inaongoza katika maambukizi ya kila siku ya ugonjwa wa COVID-19,siku 311 baada ya kuripotiwa kwa kisa cha kwanza cha ugonjwa huo nchini.Kati ya watu 186 walioambukizwa ugonjwa huo katika muda wa saa 24, 95 ni wakazi wa Nairobi. Mombasa ilinakili visa 23 , Busia visa 17, Kiambu visa 10 huku Isiolo na kwale vikiriopti visa sita kila moja. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive