Kaunti ya Nairobi imeanzisha mpango wa kutoa chakula wakati huu wa janga la COVID-19

  • | KBC Video
    Kaunti ya Nairobi imeanzisha mpango wa kutoa chakula ili kusaidia wakati huu wa janga la COVID-19 . Kaimu gavana wa Nairobi Ann Kananu Mwenda amesema wimbi la tatu la ugonjwa huo lililopelekea kutekelezwa kwa masharti ya kuzuia kuenea kwa ugonjwa huo, limesababisha familia ambazo hazina uwezo wa kujikimu kimaisha kukosa chakula, swala ambalo anasema linafaa kutatuliwa kwa dharura. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive