Kaunti ya Nairobi imezindua hospitali ya macho

  • | Citizen TV
    644 views

    Serikali ya kaunti ya Nairobi imezindua hospitali ya kwanza ya umma ya macho katika maeneo ya Eastlands hapa jijini. Akiongoza uzinduzi huo rasmi, Gavana Johnson Sakaja amesema kuwa kituo hiki kilichojengwa kwa gharama ya zaidi ya shilingi milioni 12 kitawasaidia wakaazi wanaotafuta huduma za macho jijini.