Kaunti ya Nairobi ina shule nyingi za kibinafsi

  • | Citizen TV
    326 views

    Serikali ya kitaifa na zile za kaunti zimetakiwa kuweka juhudi za kuongeza idadi ya shule za umma nchini. Waziri wa Elimu Ezekiel Machogu anasema watoto wengi katika kaunti ya Nairobi wanakosa fursa ya kupata elimu bora kwa sababu asilimia 70 ya shule zilizoko ni za kibinafsi na inakuwa vigumu kumudu gharama ya masomo.