Kaunti ya Nairobi inaongoza katika visa vya wizi wa transfoma

  • | K24 Video
    37 views

    Kaunti ya Nairobi inaongoza katika visa vya wizi wa transfoma ambao umekuwa chanzo cha baadhi ya maeneo kukosa huduma za umeme. Haya ni kwa mujibu wa kampuni ya kusambaza umeme nchini KPLC ambalo sasa imeanzisha ushirikiano na baraza la vyuma chakavu nchini kudhibiti wizi wa vifaa vya transfoma. Mwaka jana taifa lilipoteza takriban shilingi milioni 220 kugharamia uharibifu huo.