Kaunti ya Nairobi inaongoza kwa visa vya mauaji yanayotekelezwa na polisi na watu kupotezwa

  • | K24 Video
    76 views

    Kaunti ya Nairobi inaongoza kwa visa vya mauaji yanayotekelezwa na polisi na watu kupotezwa. Hiyo ni kulingana ripoti iliyotolewa leo katika kaunti ya Siaya na shirika la kutetea haki za binadamu lililoangazia matukio ya mwaka wa 2022. Hatahivyo kwa ujumla visa vya watu kutoweka na kutojulikana waliko pamoja na dhuluma za mauaji zinazotekelezwa na maafisa wa usalama vimepungua kwa asilimia 31.5 ikilinganishwa na mwaka wa 2021.