Skip to main content
Skip to main content

Kaunti ya Nairobi itatenga shilingi bilioni 25 za kuimarisha miundomsingi

  • | Citizen TV
    207 views
    Duration: 3:31
    Kamati maalum ya kuboresha utendakazi wa kaunti ya Nairobi sasa inasema itatenga shilingi bilioni 25 kusaidia katika kushughulikia miundo msingi jijini. Gavana Johnson Sakaja aliyeongoza kikao cha kwanza cha kamati hiyo amesema pesa hizo zitasaidia kushughulikia miundo msingi ambayo imesababisha kufurika kwa mara kwa mara kwa jiji.