Kaunti ya Nakuru yazindua mpango wa ajira kwa vijana

  • | Citizen TV
    511 views

    Gavana wa kaunti ya Nakuru Susan Kihika na balozi wa taifa la Uholanzi nchini Kenya Maarten Brouwer wanatarajia kuzindua hazina ya vijana itakayowawezesha kufanya biashara kama njia moja ya kufadhili utoaji ajira kwa vijana