Kaunti ya Samburu ndiyo iliyo na visa vingi zaidi vya ujangili

  • | KBC Video
    21 views

    Kaunti ya Samburu imeathiriwa zaidi na visa vya ujangili na wizi katika barabara kuu. Kulingana na waziri wa usalama wa taifa Kipchumba Murkomen, hii ni kwa sababu kaunti hiyo inapakana na kaunti nyingine zinazokumbwa na misukosuko kama vile Marsabit, Isiolo, Turkana na Baringo. Alisema haya akiwa katola eneo la Maralal, kaunti ya Samburu wakati wa kikao maalum kuhusu udumishaji usalama kwa jina Jukwaa La Usalama ambacho kiliwashirikisha wakazi, viongozi wa eneo hilo na maafisa wa usalama. Giverson Maina anatuarifu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News