Kaunti ya Siaya yaajiri walimu 602 wa shule za chekechea

  • | Citizen TV
    135 views

    Bodi ya Utumishi wa Umma ya Kaunti ya Siaya, SCPSB, imewaajiri walimu 602 wa chekechea kwa masharti ya kudumu na pensheni kila mmoja akipata mshahara wa shilingi 16890 pamoja na marupurupu ya nyumba, usafiri na likizo ya kati ya shilingi 3000 na 4000.