Kaunti ya Taita Taveta yashuhudia visa vingi vya wasichana wadogo waliotungwa mimba

  • | Citizen TV
    Kaunti ya Taita Taveta ni mojawapo ya kaunti kutoka eneo la pwani ambazo zimeendelea kuathirika kutokana na mimba za mapema miongoni mwa wanafunzi. Baadhi ya wasichana walioathirika sasa wakikosa uwezo wa kuendelea na masomo