Kaunti ya Tharaka Nithi yafutilia mbali leseni za vileo

  • | Citizen TV
    160 views

    Gavana wa Tharaka Nithi Muthomi Njuki leo amefutilia mbali leseni zote za kampuni za kutengeza vileo na kuagiza ukaguzi a biashara hizo ufanywe kabla ya leseni mpya kutolewa. Akizungumza katika eneo la Magutuni katika eneo bunge la Maara, gavana Njuki amesema baadhi ya watengezaji vileo wamekuwa wakitumia leseni bandia kuendesha biashara zao.