Kaunti ya Uasin Gishu yawalipa wafanyikazi mishahara yao bila kukosa hata mwezi moja

  • | Citizen TV
    799 views

    Huku wafanyikazi wengi katika kaunti mbalimbali humu nchini wakiendelea kuhagaika kwa kukosa mishahara , kaunti ya Uasin Gishu imewalipa wafanyikazi mishahara yao bila kukosa hata mwezi mmoja . John Wanyama anazungumza na gavana wa kaunti ya Uasin Gishu Jonathan Bii akitathimini siri yao ni ipi na kule pesa za kugharamia mishara zinakotoka.