Kaunti yafanya mkataba na Msalaba Mwekundu huko Nandi

  • | Citizen TV
    60 views

    Serikali ya Kaunti ya Nandi imetia saini mkataba wamakubaliano na shirika la msalaba mwekundu ya kuweka mikakati ya kukabiliana na majanga katika kaunti hiyo miongoni mwa maswala mengine