Kaunti za Kisumu, Mombasa, na Nakuru zimeanzisha mpango wa kuafikia matumizi ya nishati safi

  • | KBC Video
    218 views

    Kaunti za Kisumu, Mombasa, na Nakuru zimeanzisha mpango kabambe wa kuafikia asilimia 100 ya matumizi ya nishati safi kufikia mwaka 2050.kaunti hizo tatu zitashirikiana na wadau mbali mbali kutekeleza mpango huo. Gavana wa kaunti ya Kisumu professa Anyang’ Nyong’o amesema ushirikiano wa wadau wote ni muhimu katika kuhakikisha kwamba Kenya inafikia mpito wa matumizi ya nishati safi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive