Wakazi wa Mombasa, watalii wa humu nchini na wale wa kimataifa waliulaki mwaka mpya wa 2026 kwa mtindo wa aina yake ambapo walimiminika kwenye fuo, maeneo ya burudani pamoja na makanisani kote jijini Mombasa jana usiku. Kwenye kaunti jirani ya Kilifi, viongozi wakiongozwa na gavana Gideon Mung’aro walihudhuria tamasha ya muziki kwenye sehemu hiyo kwa jina ‘Rising Star Finals’ ambayo ilisheheni mbwembwe za aina yake.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive