Kaunti za Samburu, Laikipia na Isiolo zinakabiliwa na changamoto uhaba wa malisho

  • | Citizen TV
    126 views

    Swala la uhaba wa malisho limekuwa chanzo cha wizi wa mifugo, baina ya jamii za wafugaji zinazoishi katika kaunti za Samburu, Laikipia na Isiolo. Visa hivyo vinapozidi kushamiri viongozi wa jamii ya Maa wametoa mwelekeo wa kutatua swala hilo kupitia vikao vya amani vilivyoanzisha nyanjani na kuwashirikisha wafugaji katika maeneo husika