Kaunti zahimizwa kushirikiana na mashirika ya kijamii

  • | Citizen TV
    71 views

    Huku serikali za kaunti zikiendelea kukumbwa na changamoto za ukosefu wa fedha wito umetolewa kwa serikali za kaunti kutoa nafasi ya ushirikiano na mashirika ya uhisani ili kuboresha utendakazi na maendeleo.