Skip to main content
Skip to main content

Kaunti zatakiwa kushirikiana ili kupunguza vifo vya akina mama wanapojifungua na watoto wanaozaliwa

  • | Citizen TV
    368 views
    Duration: 4:03
    Serikali za Kaunti zimetakiwa kushirikiana kwa karibu katika juhudi za kupunguza vifo kwa akina mama wanapojifungua na vya watoto wanaozaliwa. Kulingana na takwimu za hivi punde, Kenya inapoteza akina mama zaidi ya elfu tano kila mwaka na watoto 92 kila siku kutokana na sababu ambazo zingeepukika.