Kaunti zote 47 kupokea vitamizi vya watoto

  • | KBC Video
    27 views

    Kaunti zote 47 zinatarajiwa kunufaika na kitamizi cha watoto wachanga kwa hisani ya wakfu ya Ushiriki Wema kufuatia uzinduzi wa mpango wa usaidizi wa watoto njiti kwa jina Okoa Malaika unaonuia kushughulikia mahitaji muhimu ya watoto njiti.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive