Kazi bila pesa | Wahudumu 9000 kwenye kaunti wako gizani

  • | KBC Video
    74 views

    Hatma ya wafanyikazi 9000 walioajiriwa chini ya mpango wa utoaji huduma za afya kwa wote haijulikani baada ya baraza la magavana kudai halina fedha za kuendelea kuwalipa wafanyikazi hao ambao kandarasi zao zinakamilika mwezi Mei mwaka wa 2023. Akiwahutubia wanahabari leo, mwenyekiti wa baraza hilo Anne Waiguru amesema kaunti zinakabiliwa na ukosefu wa fedha na kutatiza utoaji huduma. Sasa wanataka kuongezwa kwa pesa zinazotengewa magatuzi pamoja na kuhakikisha wafanyikazi wa mpango wa utoaji huduma za afya kwa wote wanasimamiwa na kaunti na wala sio wizara ya afya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #COG #News #magatuzini