Kazi ni Kazi I Muoki anaangazia mpishi hodari

  • | KBC Video
    9 views

    Chakula ni mojawapo wa mahitaji muhimu ya kimsingi ya kila mja. Sio kila mtu ana ujuzi wa kuandaa chakula kitamu na cha kuvutia. Juma hili kwenye makala ya kazi ni kazi, Fredrick Muoki anaangazia mpishi hodari ambaye amekuwa akijipatia riziki kupitia mapishi. Tazama!

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive